Sunday, January 25, 2015

VIUNGO VYA ASILI

Ndani ya visiwa vya zanzibar kuna viungo vingi vya asili ambavyo hutumiwa kwa ajili ya kutia katika vyakula kama vile chai na pilau. Pia wakaazi wa visiwa vya zanzibar hutumia viungo hivyo kwa maswala ya urembo na dawa. Viungo hivyo ni kama tangawizi, mdalasini, uzile, hiliki, pilipili manga, manjano na vyenginevyo.


1 comment:

  1. zanzibar kuna mapishi yenye ladha tamu mubashara

    ReplyDelete