Baibui la kamba ni vazi la zamani linaloonesha utamaduni wa watu wa zanzibar ambalo huvaliwa na wanawake wa zanzibar wanapokwenda safarini na hata harusini. pia kwa hapo zamani maharusi walikuwa wakivishwa vazi hili. Na nikabu ni kivazi kinachoziba uso na kubakisha macho tu, nayo pia inaonesha utamaduni wa wanawake wa kizanzibari. Kiujumla hayo ni mavazi yanayopendeza sana na yanayowasitiri vizuri wanawake. Tudumishe utamaduni.
Kwann vazi la nikabu linatumiwa zaid kwa vijana wanapotka kuingia kwenye ndoa (mabiharusi)
ReplyDeleteKwanni mabaibui ya kamba yametoweka utaisaidia vipi jamii kurejesha vazi hili au kutambulkn kwa kivaz hiki
ReplyDeleteBainisha asili yake mavazi n mapambo ya kizanzibari
ReplyDelete